Macho kodo! Jah Rastafari!
Aiseee Misri hawatakubali na wanaweza hata kutumia nguvu.. Ila nadhani wanatakiwa waelewe kwamba Haki walionayo wao ndo wanatakiwa kuwa nayo Waethopia..
wakianza kupigana, sisi tuharakishe mpango wa kuyaleta Dodoma maji ya ziwa victoria, kwa hili lazima kunguru ajipatie mlo wake kiulainiiiiii.
Siku zote hujiuliza kama mto Nile ni mali ya Misri peke yake na nchi nyingine ni watazamaji tu,sijui ingekuwaje kama mto Nile ungekuwa unaanzia Misri si ingekuwa wanauza maji kama mafuta.Aiseee Misri hawatakubali na wanaweza hata kutumia nguvu.. Ila nadhani wanatakiwa waelewe kwamba Haki walionayo wao ndo wanatakiwa kuwa nayo Waethopia..
ITV Tanzania
Bunge la Ethiopia, limefutilia mbali
mkataba uliosaniwa wakati wa utawala
wa kikoloni, ulioipa Misri na Sudan, haki ya
kutumia maji mengi ya mto Nile. Serikali ya Ethiopia, imehoji kuwa
mkataba huo ulioidhinishwa mwaka wa
1929, umepitwa na wakati. Serikali ya Misri, imepinga vikali hatua hiyo
na imekasirishwa na uamuzi wa Ethiopia
wa kujenga bwawa la maji, katika mto
huo wa Nile, ikidai kuwa itapunguza maji
yake.
Siku ya Jumatatu rais Mohamed Morsi,
alisema hataki vita, lakini anachunguza
njia zote.
Bunge la Tanzania Limeshindwa nini kuvunja Mikataba ya Kifisadi serikali inayosaini?????????
OMBI MAALUMU:
Naomba Mods msipeleke hii mada jukwaa la Kimataifa,ina Maslahi ya Kitaifa na hapa ndipo watu wengi wanaiona!
Siku zote hujiuliza kama mto Nile ni mali ya Misri peke yake na nchi nyingine ni watazamaji tu,sijui ingekuwaje kama mto Nile ungekuwa unaanzia Misri si ingekuwa wanauza maji kama mafuta.
Pia najiuliza ule mradi wa maji wa Lowasa wa kuchukua maji ziwa Victoria hadi mikoa ya Shinyanga na Tabora imefikia wapi kwani huo mradi nao ulikoromewa sana na Misri
Misri hana jeuri ya kuipiga Ethiopia hata asaidiwe na Waarabu wote