Misosi ya Forodhani Zanzibar.

Hivyo kwenye picha ya pili kutoka mwisgo ni vinini??
 
hata hapo Forodhani sijawahi fika. harafu @hancemtanashati toka ubadili jina na avatar unajidai kauzu
Forodhani kiuzuri ndio nakubali ni pazuri hasa nyakati za usiku

Pia inasemekana kuna majini nao wapo maeneo hayo hivyo si wote wanaopika na kununua ni binadamu wenzako ,kuwa makini sana ukiwa hapo

Na mwisho msinifananishe na huyo boya wenu
 
mh aisee tumbo halichoki na huenda ni kwa kuwa halina mdomo
 
duuuu ningekuwa pande hizo apo pangekuwa maskani kwangu
 
Forodhani kiuzuri ndio nakubali ni pazuri hasa nyakati za usiku

Pia inasemekana kuna majini nao wapo maeneo hayo hivyo si wote wanaopika na kununua ni binadamu wenzako ,kuwa makini sana ukiwa hapo

Na mwisho msinifananishe na huyo boya wenu
Usidanganye watu kuhusu majini,umeyaona?kwa muonekano kweli usiku ni pazuri na ile food display inapapendezesha,the only shida ni kwamba hivi vyakula vinabaki vingi na wanarudisha wanavifreeze tena na tena kila vinapobaki.Hakitupwai kitu,kwa hyo huwezi kupta fresh food utakula ma vyakula hata ya mwezi.Najuawa watakuja wapingaji wengi lakini kuna siku utakula masamaki mabovu,na hakuna kitu very poisonous kwenye chakula(yaani food poisoning kama seefood items)
 
mh aisee tumbo halichoki na huenda ni kwa kuwa halina mdomo

Mkuu usinikumbushe kuna mzee mmoja tulikua tunanunua nafaka akasema "...kama ingekua sio tumbo, pasingekua na ardhi free ambayo haijajengwa, ingekua kumejaa maghorofa ya kifahari. Tumbo limekwamisha mipango yote hiyo."
 
I know the place usiku ni pazuri sana na vile ni pembeni ya bahari unainjoi kula chakula kitamu pale.
 
Yah!!!! Uko sahihi nakuunga mkoNO 100% yalishawahi kunikuta hapo kilichofuata nilikua napiga rapid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…