
Mkuu sina mba zangu huwa zinaisha wiki ya kwanza ya wiki huwa najiunga na voda ya 10 gb ikiisha sijiungi tena hadi next month ila nakuwa na kifurushi ya whatspaa tu mwezi mzima kusoma msg tu. Ila unaweza kucopy link na kuiconvert from youtube ukapata video au mp3 fungua link hii YouTube Converter & Downloader - Convert to MP3, MP4, AVIMkuu naomba unitumie whatsapp kwa nmb hii 0717668905 pls![]()
Shukrani sana mkuu,, nimejaribu ila hizo links ndio sijui niweke ipi sasa!Mkuu sina mba zangu huwa zinaisha wiki ya kwanza ya wiki huwa najiunga na voda ya 10 gb ikiisha sijiungi tena hadi next month ila nakuwa na kifurushi ya whatspaa tu mwezi mzima kusoma msg tu. Ila unaweza kucopy link na kuiconvert from youtube ukapata video au mp3 fungua link hii YouTube Converter & Downloader - Convert to MP3, MP4, AVI
And then ikifunguka kuna sehemu imeandikwa paste your youtube link fanya hivyo and then chini yake kuna formatmp3 unaweza ichange kuwa mp4 au aina nyingine ya video ili kupata mb chache but quality ya picha itapungua mp4 huwa best picture and then una start ikimaliza unachagua kudownload video kisha utaisave kwako. Me nimezidownload but ni ndafu kama hiyo Papa ketehe ya Aamir khan ni MB 89.7 mp4 video jf siwezi upload mi mb mingi. humu mwisho mb24
Katika song utakazopenda kama unatumia computer peleka kasa yako katikati ya video ya youtube then una left click yatakuja maneno ya copy URL video bonyeza hapo itakuwa ishajicopy hivyo ukienda kwenye ile page una left click tena and then unachagua paste itajibandika then unaendelea kila wimbo unadownload kwa wakati wake tofautiShukrani sana mkuu,, nimejaribu ila hizo links ndio sijui niweke ipi sasa!