Kuna kitu hapa najiuliza wadosi waliendelea miaka mingi sana upande wa cinema, kuna movies hapa zimechezwa 70s yaani kiasi miaka 40+ iliyopita Lakini jamaa walikuwa na camera nzuri na kuchanganya picha vizuri kabisa,
Hongereni wadosi Ndio maana wasanii wao wako kwenye top sawa na Hollywood kwa mapato