Misitu mingine bwana kututega tu

ukipokea konde utaipima ngeu ilikuwa na urefu gani
looooooo wewe usintishe bwana kwa hiyo unafikiri nitaahirisha kuwa refa au?mi ndo nshaamua hivyo siahirishi n'goooo.em nifanyeni mi refa bana mbona mnakuwa hivyoo jamani?
 
looooooo wewe usintishe bwana kwa hiyo unafikiri nitaahirisha kuwa refa au?mi ndo nshaamua hivyo siahirishi n'goooo.em nifanyeni mi refa bana mbona mnakuwa hivyoo jamani?

hahaha umewahi ona refa anageuziwa kibao nae anadundwa
 
hahaha umewahi ona refa anageuziwa kibao nae anadundwa
Sijawahi na wala sitegemei initokee mimi maanake mi mwenyewe baunsa nawageuzia kibao mabondia wote wawili.upo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…