Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
looooooo wewe usintishe bwana kwa hiyo unafikiri nitaahirisha kuwa refa au?mi ndo nshaamua hivyo siahirishi n'goooo.em nifanyeni mi refa bana mbona mnakuwa hivyoo jamani?ukipokea konde utaipima ngeu ilikuwa na urefu gani