Misiri kwenda Kanani.

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
571
Reaction score
1,304
Habari za jumapili wanajamvi.

Natanguliza samahani kwanza kama nitakosea. Pia naomba kukosolewa na kuelimishwa ili nielewe.

Kutoka katika Bibilia Takatifu, maandiko yanasema kwamba Wana wa Israel walitembea kutoka Egypt kwenda Kanan kwa miaka 40.

Umbali kutoka Misri kwenda Kanani ni kati ya kilomita 250 mpaka 300. Hauzidi 300km.

Ilikuwaje wana wa Israel watatumia miaka 40 na walikuwa wakitembea usiku na mchana.
 
“Kulingana na idadi ya siku mlizopeleleza nchi, siku arobaini, mwaka mmoja kwa kila siku, mtachukua adhabu ya dhambi zenu miaka arobaini… mizigo yenu itanguka jangwani hapa.”
(Hesabu 14:34, na mstari 29–35)
 
Umemaliza mkuu...
 
Ina maana walitumia siku 40 na sio miaka 40.

Sasa kama mwaka mmoja ulihesabika kama siku moja.

Yesu alianza akiwa na miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…