GE2025 Misime: Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki tutawatambua tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.

“Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.”

Hiyo ni kauli ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), David Misime wakati akihojiwa na Kituo cha UTV, Oktoba 14, 2025.

Ameongeza “Suala la kutambua huyu ni muandamanaji na huyu ni mpiga kura tutawajua tu, uzuri ni kuwa mfumo wetu umeenda hadi ngazi ya chini kwenye levo ya Balozi.

“Tumetengeneza mfumo mzuri sana ambao siwezi kuuweka wazi muda huu.

“Mitandao ya Kijamii ni mizuri na inatusaidia kwenye shughuli mbalimbali, ikitumika vizuri inaweza kusaidia katika shughuli za kiuchumi na kijamii na mambo mengine mbalimbali, ikiwemo kujiendeleza kielimu na kupokea taarifa.”
 
Tangu lini Maandamano yamekuwa ni kosa Tanzania. ...!!?

Kitendo cha wao kuyazuia bila sababu ya msingi ndiyo wanavyoyapromote....!!
 
Wameshindwa kuwatafuta watekaji na wauaji ambao wanajulikana lakini wanataka kutafuta wenye fake IDs.

Wameshindwa kuwakamata mafisadi, wala rushwa na wezi wanaojulikana wanataka kuwakamata wenye fake IDs wanaohamasisha maandamano ambapo ni haki ya watu kikatiba?

Kuandamana lazima tutaandamana tu... hawatoamini..
 
Tangu lini Maandamano yamekuwa ni kosa Tanzania. ...!!?

Kitendo cha wao kuyazuia bila sababu ya msingi ndiyo wanavyoyapromote....!!
Kaka tuna vyombo vya dola vya ovyo sana, ambavyo viko kwa ajili ya kupambana na wanainchi tena kwa njia za kihuni..!!

Nimepewa taarifa na jamaa yangu wa mboga mboga ambaye yoko kwenye kamati ya maandalizi ya kumpokea mgombea wao wa uraisi, huko kanda ya kati.

Anasema mpango uliopo ni kwamba baada ya 29/10 kupita na hali kuwa shwari, mpango uliopo ni kuwatafuta kila mmoja aliyeshiriki kwa namna moja ama nyingine kuhamasisha maandamano kwanzia mitandaoni mpaka mitaani... akaniambia niwe makini sana na kucomment kwenye zile pages maarufu maarufu zinazohamasisha maandamano kama ya yule dada wa taifa na Maria Sarungi.

Kuhusu maandamano anasema silaha zilizopo kama maji ya washawasha na mabomu ya machozi ambazo ndio kikawaida zinatumika kuzuia maandamano hazitotosha kabisa kama watu watatoka wengi, hivyo kuna uwezekano mkubwa sana police wakatumia live bullets kukabiliana na waandamanaji.

Jamaa anasema kuna vikao visivyo isha vya maafisa usalama na viongozi wa ccm ambavyo vingi ninahusua kuzuia maandamano, hata suala la Lisu sasa hivi haliongelewi sana kama kipindi cha nyuma kwenye vikao vyao.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.

“Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.”

Hiyo ni kauli ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), David Misime wakati akihojiwa na Kituo cha UTV, Oktoba 14, 2025.

Ameongeza “Suala la kutambua huyu ni muandamanaji na huyu ni mpiga kura tutawajua tu, uzuri ni kuwa mfumo wetu umeenda hadi ngazi ya chini kwenye levo ya Balozi.

“Tumetengeneza mfumo mzuri sana ambao siwezi kuuweka wazi muda huu.

“Mitandao ya Kijamii ni mizuri na inatusaidia kwenye shughuli mbalimbali, ikitumika vizuri inaweza kusaidia katika shughuli za kiuchumi na kijamii na mambo mengine mbalimbali, ikiwemo kujiendeleza kielimu na kupokea taarifa.”
Kwanini tupate tabu zote hizo,sikilizeni na rekebisheni pale mnakopishana!
 
Mwaka unaisha hao watu hawajafanikiwa kukamata mtekaji hata mmoja wao wako busy na yasiyowahusu.

Maandamano ni haki ya kikatiba , utekaji ni kinyume na katiba basi wafanye yanayowahusu.

Mtu aliyetembea nchi nyingi zilizostaarabika atakubaliana na mimi muda wa uchaguzi mambo yanayochukua hatamu ni midahalo na minyukano ya hoja na sera.

Ila hapo wamefunga wapinzani matokeo yake ni kushindana na vivuli vyao ndio maana tunasikia vitisho vya polisi kila uchwao.
 
Kaka tuna vyombo vya dola vya ovyo sana, ambavyo viko kwa ajili ya kupambana na wanainchi tena kwa njia za kihuni..!!

Nimepewa taarifa na jamaa yangu wa mboga mboga ambaye yoko kwenye kamati ya maandalizi ya kumpokea mgombea wao wa uraisi, huko kanda ya kati.

Anasema mpango uliopo ni kwamba baada ya 29/10 kupita na hali kuwa shwari, mpango uliopo ni kuwatafuta kila mmoja aliyeshiriki kwa namna moja ama nyingine kuhamasisha maandamano kwanzia mitandaoni mpaka mitaani... akaniambia niwe makini sana na kucomment kwenye zile pages maarufu maarufu zinazohamasisha maandamano kama ya yule dada wa taifa na Maria Sarungi.

Kuhusu maandamano anasema silaha zilizopo kama maji ya washawasha na mabomu ya machozi ambazo ndio kikawaida zinatumika kuzuia maandamano hazitotosha kabisa kama watu watatoka wengi, hivyo kuna uwezekano mkubwa sana police wakatumia live bullets kukabiliana na waandamanaji.

Jamaa anasema kuna vikao visivyo isha vya maafisa usalama na viongozi wa ccm ambavyo vingi ninahusua kuzuia maandamano, hata suala la Lisu sasa hivi haliongelewi sana kama kipindi cha nyuma kwenye vikao vyao.
Umetumwaaa kwendraaaa..eti live bullets ovyoo.Hatununui uogaa
 
Back
Top Bottom