![]()
Haya wazee WA Matungucha bar kwishineyi
Sasa hivi we unga tuDuh, Mkuu pale juu gorofani ndo ilikuwa kijiwe changu cha kupata bili bili baridi kabla sijaunga kwenda Mbezi! Dah!!![emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
sawaNinamjua TRA, Tanesco na Dawasco hao wananitosha.
Afadhali Wakatoliki nao wapate kibarua cha kujenga makanisa. Tangu Muitaly awaachie majengo wamebweteka, sisi Walutheri ambao hatukurithi chochote tumejipiga piga weee hadi sasa tuna majengo makali kuliko Roman Catoliki ambalo kiuhalisia ndio kanisa kubwa.
Sie KKKT tumeshazoea kujenga, hatushtushwi na bomoa bomoa. Hata wakibomoa makanisa yote, tutachangishana tena tuanze moja... Kujenga ndio imekuwa kama hobby yetu kwa sasa. Kazi kwao hao ambao wamezoea vya kupewa...
Aisee kaz ipo![]()
Haya wazee WA Matungucha bar kwishineyi