Misiba ya Ruge na Kibonde imesahaulika haraka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,554
44,723
Sijui kwanini nahisi kama msiba wa watu Hawa wawili umefutika mapema mno mioyoni mwa wengi. Nilitaka angalau kuendelea kusikia Mambo mbalimbali ya kujifunza, kuhamasika, kujikumbusha n.k kuhusiana na maisha Yao na Chanzo Cha vifo vyao.

Lakini kinyume na hapo nimeona kila mtu ni kama ameshapotezea, yaani unaweza kufikiria msiba Ni wa mwaka jana kumbe umetokea mwezi uliopita tu.

Shida ni nini watanzania tumekuwa na Mambo mengi na story nyingi au ndo kila mtu apambane na Hali yake kwa Sasa.

Anyway Mambo yasiwe mengi tukumbushane kufanya mema na kushika zile amri na maagizo tulizoachiwa. We ambaye huamini kuna kifo tambua kipo na kila kunapokucha siku ya kufa inakaribia.
 
Hawakuwa maarufu kama unavodhani wewe
labda kwa waliokuwa wanasikiliza cloudsfm

huwezi kuwafananisha na steven kanumba
ambae kifo chake kili trend sana mwaka na zaidi

'Gear yourself to solutions in every problem'
 
Jiulize wewe utasahaulika mapema kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu walikuwa maarufu ndio ila hawakuwa maarufu kwa kiwango kikubwa kama walivyopigiwa promo kwenye misiba yao, umaarufu wao haukunata kwenye jamii yote ispokuwa ulibase kwa watu fulani fulani...na ndo mana uhalisia umajitokeza sasa, watu wamesahau, ni kama tu kifo cha wazir au mbunge au mkrugenzi wa shirika fulani lenye nguvu atasahaulika soon tu cause impact yao inabagua baadh ya makundi..ni tofaut na Kanumba au Nyerere, hawa waligusa jamii yote, na ndo mana walipofariki jamii yote ilitaharuki na stilll up to date watu wanawakumbuka
 
Back
Top Bottom