Misiba mikubwa ya kitaifa isiwe 'kick' ya baadhi ya wanasiasa kuleta siasa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Wakuu.

Kumekuwa na katabia fulani ka (baadhi) ya wanasiasa kitumia 'kick' ya misiba mbalimbali ya kitaifa katika kujitafutia umaarufu wap kisiasa. Utasikia tu matamko, salamu, pole na sentensi zinazoleta usiasa katikati ya majonzi ya watu.

Hali kadhalika, kumekuwa na tabia ya baadhi ya vyama vya siasa kumiminika na sare za vyama vyao misibani. Utakuta mtu kapiga suti kabisa sare ya chama., juu mpk chini. Aibu sana! Hata kama waliofariki siyo makada.

Chonde chonde msiba huu wa watoto wetu hapa Arusha. Mbwembwe na shamra shamra za uvyama tuweke kando. Tuwasindikize watoto wetu safari yao ya mwisho.

RIP
 
Back
Top Bottom