Hayo madira je ni sare? , sidhan.Pia hilo ni vazi tu.
Uislam ni dini nyepesi sana.Ushawahi kujiuliza kwanini marehem hubebwa na watu, unadhan magari hayapo.Ni nadra sana waislam kutumia magari kwenda kuzika.
Ukristu ni dini ngumu sana.
Mfano Mtu anafia dar anasafirishwa mpaka kada ya ziwa,gharama za magari na mafuta
geneza laki na milioni.
Apigwe na suti ya maana
Achomwe na sindano za gharama asi toe harufu.
Hapo kila mtu kavaa chapisho ya sura ya marehem kwenye t shirt yake.
Mashada ya gharama yanunuliwe.
Kuna zege la kujenga kaburi yani ni gharama sawa namsingi wa kujenga choo na bafu.
Swali, hivi huko kaburini maiti atatathiminiwa kwa style aliyozikwa au kwa matendo yake duniani.?
Kwenye Uislam ukifa asubuhi,saa saba upo mwanandani.Kama uliishi kwa dhurma au wema, Allah will judge.
Juu ya kaburi hatuweki mashada ya maua feki yenye gharama, tunaweka matawi ya miti ya maua kwenye kila pembe ya kaburi.Yani kitu natural kabisa, yanachumwa hapo hapo kwenye miti shughuli ya kuzika ikiwa inaendelea
katika mazishi ya kiislam hakuna tofauti ya tajiri na maskini.wanazikwa the same, tofauti yao ni matendo yao.Allah will judge.
Hata kwenye maombi maiti wa kikristu atapelekwa kanisani aobewe mda mferu.kaburini maombi yanachua mda.logic yangu hapa its time consuming, cause a person will be judged by the kind of life he/she lived.
Kuna kipindi nipo songea tulipoteza mda mrefu makaburini cause waumini wa kikristu walikua wanakemea juu ya kaburi.
Ukristu ni dini artificial ndo maana kila kitu kigumu, huko kwenye harusi ndo usiseme,imekua ni kuibiana na kupeana hasara tu.
Uislam ni dini Natural na very simple
Niishie hapo.