Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 15,341
- 75,512
Gauni zuri sana. Porsha katokelezea kweli kweli
Gauni zuri sana. Porsha katokelezea kweli kweli
Hii gauni nilikua naitafuta hiii
T ake kama nakuona chini na heel yako afu unaswing kama twiga
T ake kama nakuona chini na heel yako afu unaswing kama twiga
Nilikuwa nawaza cha kuvaa sehemu fulani hivi, umenirahisishia kazi kama ifuatavyo tehHahah!
Acha tu T ake, hiyo look imekuwa copied&pasted mpaka hizo accessories.
Nilikuwa nawaza cha kuvaa sehemu fulani hivi, umenirahisishia kazi kama ifuatavyo teh