Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
Hapa tuko full we sema tu unatumia ndovu moto au baridi
Karibu mwendo wa wine na makalmati.
Karibu jf.
Togwa halipandi?
Umeingia na mbwembwe haya sema unakunywa bia gani?
karibu sana.
Asante mkuu Cancel-Vi aka Cut-Vi