Tunataka kuwasikia tucta waseme hayo ndio makubaliano ya siri waliyokubaliana na hao wezi maana bajeti ya mishahara ina nyongeza ya 40%,ondoa watumishi wapya,vyeo karibu 20% wamejipangia posho wao.Serikali ya kifisadi ni hatari sana 2015 watoswe, TUCTA andaeni mgomo wa kisheria wamezoea hawa ,kwanza kodi ya mshahara ni kubwa kulizo wanazolipa wafanyabiashara
sasa Tucta hivi kweli ndo makubaliano yenu hayo na serikali hapa sasa mnataka tuamie Zanzibar iweje nchi moja ongezeko la mshaara litofautiane zaidi ya nusu.wana JF nisaidieni ivi Tanganyika na Zanzibar mfumuko wa bei unatofautiana inakuje tofauti zinakuwa hivi wazee wa gamba mnatuuaa kweli
Kwa kweli hali ni ngumu, naona wangeanzisha soft loans kama kwenye mabenki na kuhire walimu wa kufundisha ujasiriamali naona ingesaidia kuondokana na hali hii coz kwa sasa ukichua 150000 gawa kwa siku 30 kwa familia ya watoto 4 baba na mama jumla watu 6 unapata kama 860 kwa cku. Je tutafika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.