Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Tuwe wakweli, mishahara ya watumishi wa umma haitakaa ikawa sawa au kakaribiana.
Baada ya magufuri kuingi ikulu baadhi ya watu hasa watumishi wa umma wameanza kupata ndoto za mchana na kuanza kuomba magufuri kuondoa tofauti iliyopo katika mishahara ya watumishi wa umma.
Ni kweli kwamba kuna tofauti kubwa sana katika mishahara ya watumishi wa umma. Lakini lazima tuwe wakweli, haiwezekani mfanyakazi wa halmashauri,mfano mhasibu ukalingana mshahara sawa na mhasibu wa dawasco au ttcl.
Halmashauri ni sehemu ambapo ni kwa ajili ya matumizi tu na hakuna uzalishaji wa pesa,haiwezekani ikawa sawa na dawasco au tanesco au tpdc ambao wanafanya biashara,wanazalisha na kuuza.
Haiwezekani mkusanya kodi wa tra anaekutana na wateja,kujadiliana nao kiwango cha kulipa na kumshawishi mtu kulipa kodi alingane mshahara na mhasibu wa halmashauri.
Tuangalie aina ya kazi wanayoifanya watu na mishahara yao,tusitake kujilinganisha nao.
Wenye ndoto za mchana kama hizo achaneni nazo.