nyinyi ndo mnatandikwa viboko na wakuu wa wilaya?
Mtapigwa saaaaana na vumbi la chaki. Being a teacher is the natural curse
Without a teacher ucngekua na ujanja hata wa Ku comment chochote hapa,, ujanja wa kujua hata kuna Jf,,,ni kwa sababu ya huyo Mwalimu aliyekufundisha hicho kingereza ulichoandika....na kumbuka unaongozwa na walimu ,,rais na waziri wake hao hao wenye natural curse....think big
.

Huna ndugu mwalimu wewe? Acha ulofa kutukana fani yenye 50% ya gvt employees. Eti cursed career, you're just a jinxed stinking twat!
Haya mambo ya kijinga sana na ni hoja dhaifu sana, unafikiri mtumishi gani hataki kufanya kazi katika shirika la umma?je kwa nini mashirika hayo yanaendeshwa kwa hasara ingali wanapewa mishshara mikubwa?je ni kweli waajiriwa kwenye mashirika wanakusanya fedha?
Huu nasema ilikuwa mradi wa watoto wa vigogo, haiwezekani mshahara wa certificate wa shirika la umma ulingane na degree holder wa local or central government.Madhara ya serikali dhaifu ndiyo namkumbuka Mwigulu alilisemea kuwa atakomesha sana ila sasa yuko kilimo na uvuvi sijui watamsikiliza kwenye baraza la mawaziri.
sasa tufanye nn ili iweze kulingana? (SOLUTIONS! !)
Mshahara uwe sawa kwa kazi za umma kama mtu hataki akafanye kazi shambani kwake.
Katika kutumikia umma kila mtu ni muhimu.
Hakuna TRA bila mwalimu. Bila polisi fedha zote wanazokusanya TRA zitaibiwa na vibaka wasio na ajira.
Bila wanajeshi mipaka ya nchi haitakua salama.
Bila Madaktari wafanyakazi na wananchi watakua na afya duni.
Huu mradi wa mishahara kuwa tofauti ulikua ni mradi wa kutengeneza madaraja na kudharauliana kwenye kulitumikia taifa . Kamwe haikubaliki kwenye taifa la kijamaa kuwa na watumishi wanaoneemeka kwa rasilimali za umma huku wengine wakiteseka kwa watumikia wengine.
Huu ni mfumo mbaya sana sana. Wizara na idara zote ni muhimu.
Kama mtu ataona hawezi kulitumikia taifa hili kwa uaminifu kwa sababu tu ya kutaka kuwa awe tofauti na mwenzake mwenye elimu sawa na ya kwake basi awapishe wenye moyo wa kizalendo ambao ni wengi mno.
Tutapinga huu unyonyaji wa watumishi wa idara ndani ya mashirika ya umma kunyonya rasilimali za nchi na kuwafanya wengine ni vibarua wao.
Hali hii ya Wachache wanaojilimbikizia mamishahara na kujenga nyumba 73 Kwenye eneo moja huku watumishi wengine wakijenga nyumba moja tu kwa tabu na mikopo yenye riba kubwa inapoteza uzalendo.
Kila mtu anataka kula vizuri na kuishi kama binadamu na alee watoto wake kama wengine.
Mtapigwa saaaaana na vumbi la chaki. Being a teacher is the natural curse
Without a teacher ucngekua na ujanja hata wa Ku comment chochote hapa,, ujanja wa kujua hata kuna Jf,,,ni kwa sababu ya huyo Mwalimu aliyekufundisha hicho kingereza ulichoandika....na kumbuka unaongozwa na walimu ,,rais na waziri wake hao hao wenye natural curse....think big
.
Some curse can cause blessings.
Samahani kama nimekukera
Huna ndugu mwalimu wewe? Acha ulofa kutukana fani yenye 50% ya gvt employees. Eti cursed career, you're just a jinxed stinking twat!
Thanks for your embarrassment. Sijatukana but nimeongea Ukweli uliopo.
%ya walimu hawapendi career yao
Thanks for your embarrassment. Sijatukana but nimeongea Ukweli uliopo.
%ya walimu hawapendi career yao
C kweli unavoamini,,,those people are so happy with their profession..,.hao wasioipenda career yao walisha acha kazi,,kama wanasema hawapendi mbona bado wapo,,,wanasubiri nini huko??? C watafute wanazozipenda,,
Inawezekana tena sana2 swala ni kwamba mwisho wa siku wote ni watumishi wa umma..kikubwa levo zao za elimu2 sioni sababu ya msingi ya mwalimu wa shahada kupishana na mwenye shahada wa TRA zaid ya laki 4
Mtapigwa saaaaana na vumbi la chaki. Being a teacher is the natural curse
Mtapigwa saaaaana na vumbi la chaki. Being a teacher is the natural curse
Without a teacher ucngekua na ujanja hata wa Ku comment chochote hapa,, ujanja wa kujua hata kuna Jf,,,ni kwa sababu ya huyo Mwalimu aliyekufundisha hicho kingereza ulichoandika....na kumbuka unaongozwa na walimu ,,rais na waziri wake hao hao wenye natural curse....think big
.
Mkuu ulichoongea ni ukweli mtupu.
Ukikaa ukawangalia walimu wanapoanza kuwafundisha wanafunzi wasiojua chochote kichwani zaidi ya kurikaruka kama ndama juu ya madawati na kupiga makelele kama vichaa halafu mwalimu anamfundisha ustarabu na kuujaza ubongo wa mwanafunzi elimu inayokuza kipaji chake na kumpa mambo mengi aliyokua hayafahamu hata kuyaota basi utagundua kuwa kumdharau mwalimu ni kiburi tu baada ya kufanikiwa kijanja kijanja.
Watumishi wote wa umma wanahitaji kuheshimiana na kuona kuwa kila mmoja ni sehemu ya kulijenga taifa kwa uzalendo wa kweli.
Hicho kijiinglishi chako usingeweza kukiandika bila hao "natural curse"...sio kijiingilish tu hata kuandika gumu jf usingeweza