happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Hilo linaitwa swalijibu. Swalijibu hutolewa kumwelimisha muulizaji ambaye kabla hajachambua kitu anachotaka kujua kwa makini hukurupuka na kuuliza swali kama ulivyofanya wewe.
Leo 28 august kimya mishahara na huku ndugu na jamaa wanahitaji hela,
ahsante serikali yetu kwa kutujali watumishi.
Nganu sie kwetu umetoka jana asubuhi.