Mishahara ya walimu mwezi Agosti imeshatoka?

Utaratibu wa kulipwa moja kwa moja umesitishwa...Italipwa kupitia halmashauri zenu...Kama unavyojua halmashauri hutofautiana.
 
mshahara bado majamaa, kila mtu maskio kodoooooooo, wanaskilizia salary.............
 
Utaratibu wa kulipwa moja kwa moja umesitishwa...Italipwa kupitia halmashauri zenu...Kama unavyojua halmashauri hutofautiana.

aisee! kwanini imekuwa hivyo tena? inamaana huyu bwana mwigulu alikuwa anatania, eeh?
 
Back
Top Bottom