Mishahara ya walimu mwezi Agosti imeshatoka?

Mishahara ya walimu mwezi Agosti imeshatoka?

Nasikia siku hizi mshahara utakuwa unatolewa kwa mgao ikiwa na maana kuwa kuna baadhi ya sekta itafika hadi tarehe kumi ya mwez mwingine kabla hawajapata mishahara yao....
 
Nasikia siku hizi mshahara utakuwa unatolewa kwa mgao ikiwa na maana kuwa kuna baadhi ya sekta itafika hadi tarehe kumi ya mwez mwingine kabla hawajapata mishahara yao....
kama ni kweli , mood ya kufanya kazi itakwisha kwa baadhi ya wafanyakazi...
 
najiskia vbaya sana kuona walimu wanaulizia mshahara hivi japo ni haki yao
 
Nyambafuuu,c mtoe majibu vzr kama imetoka??Mchepuko unansubir
 
Jaman naomba kujua eti mishahara ya mwezi august ishatoka? Kama hujui pita ivi, nina alergy na matusi
 
Back
Top Bottom