mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
ngazi ya astashahada kwa upande wa Serikali Kuu ni Sh 390,000, kada ya walimu Sh 419,000, wauguzi Sh 432,000 na madaktari ni Sh 432,000.
Kwa upande wa stashahada, Serikali Kuu ni Sh 525,000, walimu 530,000 wauguzi 680,000 na madaktari ni Sh 680,000.
Kairuki alisema ngazi ya shahada kwa upande wa Serikali Kuu ni Sh 710,000, walimu 716,000, wauguzi 980,000 na madaktari ni Sh 1,480,000.
Polisi/jeshi/Magereza nyota moja ni 956,000/=, nyota mbili 1,865,000/=, nyota tatu 2,441,180/=