Mishahara ya tutorial assistant vyuo vya umma

Hata Mimi imenishangaza sana mtu kapoteza miaka 30 kusoma halaf analipwa hivyo wakati Mimi ni ENGINEER wa kawaida tu nalipwa zaidi ya hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa imepanda sana. Miaka kama 20 iliyopita, nilikuwa nalipwa 130,000 kwa mwezi UDSM. Ilibidi nikimbie tu. Kulikuwa hakuna namna nyingine. Wenzangu waliovumilia naona awamu hii Jiwe kawakumbuka na teuzi zake.
Kwa Mshahara huu sasa hivi ungekuwa level za PhD au Le Proffeseri
 
Habari wakuu ningependa kujua mishahara ya tutorial assistants kwa vyuo vya umma kama udsm , ardhi ,udom n.k na other benefits (packages) outside basic salary natanguliza shukrani
Jaman anayejua zaidi juu ya hili atujuze
 
Definetly, because kuna wanao ajiliwa fresh from school due to their outstanding perfomance wakiwa degree graduates...but wanapewa madarasa ya undergraduate.

kuhusu kuwa full lecturer ina depend elimu years of experience na publications. na upandaji ni Tutorial assistant,assistant lecturer,lecturer then at last senior lecturer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…