Mishahara ya OLAM Tanzania Ltd

Mishahara ya OLAM Tanzania Ltd

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
naomba anayejua mshahara wa operational officer katika kampuni ya OLAM anijuze.
Hapa Bukoba wametangaza hizo nafasi na zipo kwenye notice board ya jengo la nssf karibu na kituo kikuu cha polisi.
Naomba taarifa wadau
 
Wanalipa 120,000/- kwa mwezi kama wewe ni intern!
 
hawalip vzr ht kdg wale wahindi halafu ni wa sumbufu sana me nimefanya olam ya mtwara nilijuta,
 
Mishahara ni midogo ila madil ni mengi.. nimefanya nao kazi pia.walkua wanalipa 120,000/=
 
Olam,wanajishughulisha na nin?

Bila shaka, wanahusika na ubanguaji wa Korosho ila sijui kama huko Bukoba watakua na mradi huo huo au vipi hapo mleta mada atatusaidia.
 
kama huna kaz changamkia hyo piga magumash wkt unatafta nyingne,ushaambiwa kuna mazabe!

Unapelekwa very very interior kiasi kwamba unakosa connections zingine mkuu alafu mshahara hata kwa subsistance hautoshi...it's too hard to bear!
 
naomba anayejua mshahara wa operational officer katika kampuni ya OLAM anijuze.
Hapa Bukoba wametangaza hizo nafasi na zipo kwenye notice board ya jengo la nssf karibu na kituo kikuu cha polisi.
Naomba taarifa wadau

120000/ mshahara usikutishe,kuna ishu nying za hela OLAM
 
Olam kanda ya Bukoba leo wameanza kuita wata kwenye interview ambayo itafanyika tar. 24 mwezi huu.
 
Interview ya oral olam kanda ya bukoba ni jumanne saa 2 asubuhi jemgo la nssf zilipo ofc zao kanda ya bukoba...hongereni mulioitwa.
 
Back
Top Bottom