nashangaa kwanini mnamshambulia aliyeleta swali,hiyo ni public company na iko financed na walipa kodi na ni sawa na private company lazima kusema salary za CEOs kwa shareholders wake,sasa kwanini salary & allowances viwe siri? na sio ndio nyie mnashinda humu JF na vuvuzela zenu za kulia ufisadi,kesho mkiambiwa mkurugenzi analipwa allowance ya nyumba na gari inayozidi mishahara ya madaktri 100 combined naomba msilalamike na iendelee kuwa siri..mwenye jibu alete hapa na mjue mishahara & allowances sio siri na shareholders au public wana haki ya kujua kama wana interest na hilo shirika.
JF kaazi kweli wakati mwingine. Baada ya posts 28 jamaa hajapata jibu la swali lake la kawaida kabisa alilouliza.:confused2:
We ya nini? Mishahara ni siri!
unashangaa???...huku ni mavuvuzela tu!ndo watanzania!
thanks for the correction. just wondering...mshahara ya Management ya TRA? au board of directors wake wanalipwa ngapi?
.....mkuu kama mlipa kodi una haki ya kujua hilo, lakini mambo mengi sana hapa kwetu ni kimya kimya sana...hata ukiweza kupata basi ni kwamba utakuwa umeibiwa fulani hivi, haiweki public.......! lakini nikwambia don't be suprised kusikia wanakunja zaidi ya 5m bila ya other benefits, ukiweka hizo other benefits.....wanaweza kuwa wanapata between 5m to 20m mzee.....usishangae....!
ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye data juu ya misharaha ya NSSF na allowances zake! Natanguliza shukrani!
We ya nini? Mishahara ni siri!
Ndivyo walivyo kudanganya mkuu ili usi dadisi zaidi? Siku nyingine mambo ya ufisadi ya kiulizwa utasema pia kwamba mafaili hayo ni siri. Kweli Tanzania tuna safari ndefu.
Manji ni nani? I’m interested thoughchapakazi, kama una interest na nssf nakushauri umcheki manji anaweza akakuunganishia kazi pale in a minute.... thy like him a lot!!:becky: