babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,308
TAZAMA MISHAHARA YA
MARAIS DUNIANI
KUMBE MSHAHARA WA
KIKWETE NI MKUBWA
KULIKO WA UHURU
KENYATTA?
WAKATI RAISI WA TANZANIA AKITIA
KIBINDONI ZAIDI YA MILIONI 384
KWA MWAKA,
HII HAPA CHINI NI
BAADHI YA MISHAHARA KWA
MARAISI WENGINE, WENGI WAO
WANATULETEA MISAADA YA
MAENDELEO.
Nchini Marekani, mshahara wa rais
unajulikana tangu mwaka 1789
kiongozi wa nchi hiyo alipokuwa
analipwa Dola 25,000 kwa mwaka.
Kuanzia 2001 hadi sasa, Rais wa
Marekani analipwa Dola 400,000
(Sh 640 milioni) kwa mwaka, sawa
na Sh 53.3 milioni kwa mwezi.
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma
analipwa Randi 2 ,917 038 sawa na
zaidi ya Sh400 milioni za
Kitanzania kwa mwaka, Rais wa
Ufaransa, Francois Hollande Sh475
milioni, Waziri Mkuu wa Uingereza,
David Cameron Sh338 milioni, Rais
Uhuru Kenyatta wa Kenya Sh277
milioni na Rais wa Namibia,
Hifikepunye Pohamba Sh226
milioni kwa mwaka.
Wengine na malipo wanayopata
kwa mwaka ni Marais wa Urusi,
Vladimir Putin, Sh174 milioni, Ellen
Johnson Sirleaf wa Liberia Sh137
milioni, Michael Satta wa Zambia,
Sh126 milioni, Rais wa Angola, Jose
dos Santos Sh91 milioni, Rais wa
Lesotho, Profesa Pakalitha Mosisili
Sh88 milioni, Armando Guebuza wa
Msumbiji, Sh84 milioni na Rais wa
Jamhuri ya Watu wa China, Xi
Jinping Sh60 milioni.
Wengine ni Rais wa India, Pranab
Mukherjee Sh49 milioni, Rais wa
Zimbabwe, Robert Mugabe Sh27
milioni, Naibu Rais wa Afrika
Kusini, Kgalema Mothlanthe Sh331
milioni, Waziri Mkuu wa Namibia,
Nahas Angula Sh160 milioni, huku
Baba Mtakatifu wa Kanisa la
Romani Catholic, Papa Benedict XVI
akifanya kazi bila kulipwa
mshahara.
MARAIS DUNIANI
KUMBE MSHAHARA WA
KIKWETE NI MKUBWA
KULIKO WA UHURU
KENYATTA?
WAKATI RAISI WA TANZANIA AKITIA
KIBINDONI ZAIDI YA MILIONI 384
KWA MWAKA,
HII HAPA CHINI NI
BAADHI YA MISHAHARA KWA
MARAISI WENGINE, WENGI WAO
WANATULETEA MISAADA YA
MAENDELEO.
Nchini Marekani, mshahara wa rais
unajulikana tangu mwaka 1789
kiongozi wa nchi hiyo alipokuwa
analipwa Dola 25,000 kwa mwaka.
Kuanzia 2001 hadi sasa, Rais wa
Marekani analipwa Dola 400,000
(Sh 640 milioni) kwa mwaka, sawa
na Sh 53.3 milioni kwa mwezi.
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma
analipwa Randi 2 ,917 038 sawa na
zaidi ya Sh400 milioni za
Kitanzania kwa mwaka, Rais wa
Ufaransa, Francois Hollande Sh475
milioni, Waziri Mkuu wa Uingereza,
David Cameron Sh338 milioni, Rais
Uhuru Kenyatta wa Kenya Sh277
milioni na Rais wa Namibia,
Hifikepunye Pohamba Sh226
milioni kwa mwaka.
Wengine na malipo wanayopata
kwa mwaka ni Marais wa Urusi,
Vladimir Putin, Sh174 milioni, Ellen
Johnson Sirleaf wa Liberia Sh137
milioni, Michael Satta wa Zambia,
Sh126 milioni, Rais wa Angola, Jose
dos Santos Sh91 milioni, Rais wa
Lesotho, Profesa Pakalitha Mosisili
Sh88 milioni, Armando Guebuza wa
Msumbiji, Sh84 milioni na Rais wa
Jamhuri ya Watu wa China, Xi
Jinping Sh60 milioni.
Wengine ni Rais wa India, Pranab
Mukherjee Sh49 milioni, Rais wa
Zimbabwe, Robert Mugabe Sh27
milioni, Naibu Rais wa Afrika
Kusini, Kgalema Mothlanthe Sh331
milioni, Waziri Mkuu wa Namibia,
Nahas Angula Sh160 milioni, huku
Baba Mtakatifu wa Kanisa la
Romani Catholic, Papa Benedict XVI
akifanya kazi bila kulipwa
mshahara.