Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,084
- 1,499
Wakuu ni hivi kama nilivyoeleza hapo awali Kuwa Nina umri wa 26 na elimu ya form six na pia Nilisoma NTA level 4 in mechanical engineering nilikua naomba kuuliza endapo kama nitaamua kurisk pesa nilio nayo na kuja dar Kutafuta kazi.
Je, ni vipi kuhusu maslahi ya kipato kitanitosha kuweza kuyamudu maisha ya dar na kusave mtaji wa kurudi nao mkoani kufungua workshop yangu au nikomae hukuhuku mkoani.
Note Sina pesa ya kuendelea na shule japo nina vikazi vyangu binafsi vya kuweza kunipa hata 100000 per month. Pia nafanya kazi nyinginezo za nguvu