Mishahara mwezi kuchelewa sana kwani hata JWTZ bado.

Askari polisi nao kimenuka kwani posho yao ya katikati ya mwezi hawakupata. Posho ya mwezi huu wa Juni wameambiwa hakuna eti mpaka vikao vya bunge la bajeti vimalizike!

acha kudanganya watu....posho wa2 washakula
 
jamani ni kweli hatujapata na si kawaida pengine pesa zimeenda kuzika zanzibar,kazi ya ccm ni misiba tu na ndo maana jk kila ikizama meli lazima akauze sura na hatuoni awajibikaji,i hate jk,i hate ccm and i hate any one with afiliation with ccm

Hivi leo tarehe 23/07/2012 ni mwisho wa mwezi huu kumbe! Hee!? Nilikuwa sijui nilidhani mwezi huu una siku 31, kumbe una siku 23 tu!
 
Hivi Shimbo na mabilioni ya Afrika ya Kusini yaliyolengwa kuingizwa serikalini baada ya wajeshi wetu kukinusuru kisiwa cha Comoro toka kwa wababe wa kivita wa Commorro Mayotte yeye si JWTZ? Halafu hivi wale wa SUMA JKT nao si tawi la JWTZ? Haya mie ni mpita njia tu

Wenyewe watakwambia wewe ni mchochezi na unahatarisha amani ya nchi, samahani nilisahau kumbe kesi ipo mahakamani hairuhusiwi kujadili jambo hii!
 
Inauma sana.......tuna kikao cha dhalura leo saa3 usiku()ili kujua why serikali inajifanya imetusahau sisi wapiganaji.
.......Inauma zaidi sisi walimu tuliyofundisha nyie kusoma na kuandika tunaposahaulika kabisa......:A S cry:
 
Back
Top Bottom