Mishahara mwezi kuchelewa sana kwani hata JWTZ bado.

Aaah jamani siku mbili tu mnalalamika..............mbona sisi wa juni tumepata tarehe 15 julai! Acheni kujilegeza bana nyie wajeshi
 
Napenda kujua kwanini hadi lea JWTZ hawajapata pay kwani hupata kati ya th.18 na 19. Serikali imefulia au ndo marekebisho ya mishahara.

Tunataka wacheleweshewe ili wakaongoze mapinduzi na kuikabidhi nchi kwa wenye uchungu na nchi hii chadema
 
Wao wenzao wakiandamana kuhusu mishahara siwanawazuia vibaraka watwana hao to hell with ua idiotic! Foolish! Incidible! Stupid! Open ended mind ,wasipewe kabisa i hate them sana hawalalamiki ila rushwa ndio zinazidi barabarani utaulizwa kwanini stika zimechanika?

Mkuu umekurupuka kuchangia. JWTZ hawahusiki barabarani
 
Napenda kujua kwanini hadi lea JWTZ hawajapata pay kwani hupata kati ya th.18 na 19. Serikali imefulia au ndo marekebisho ya mishahara.
Inauma sana.......tuna kikao cha dhalura leo saa3 usiku()ili kujua why serikali inajifanya imetusahau sisi wapiganaji.
 
Askari polisi nao kimenuka kwani posho yao ya katikati ya mwezi hawakupata. Posho ya mwezi huu wa Juni wameambiwa hakuna eti mpaka vikao vya bunge la bajeti vimalizike!
 
kuchelewa mishahara ni jambo la kawaida kabisa, hata wafanyakazi wa white house kwa Obama wanachelewa kupata mishahara yao sometimes.
 
Wao wenzao wakiandamana kuhusu mishahara siwanawazuia vibaraka watwana hao to hell with ua idiotic! Foolish! Incidible! Stupid! Open ended mind ,wasipewe kabisa i hate them sana hawalalamiki ila rushwa ndio zinazidi barabarani utaulizwa kwanini stika zimechanika?

Tangu lini JWTZ wakakagua magari barabarani?
 
Langei na ninyi huko JWTZhapa na pale tieni mkwala kidogo,
Huu upumbavu wa serikali ya CCM unatuumiza wote,
Wajeshi mko kimya utadhani kambi zenu ni pepo ya duniani??
Mnaishi mitaani kama sisi,
mnahangaika mboga kama sisi,
mna shida ya maji kama sisi,
Kambati zimechoka,
buti zinaviraka,
bereti zimetoboka,
majenerari wenu wana vitambi na majumba tele,
Pololo siku hizi zimekauka kama jangwa la sahara

Saidieni Tujenge Chetu -STC.
miaka ile waliitia jambax2 serikali ya CCM mikopo ya magari wakapewa.
Itieni Jambax2 tena serikali iboreshe maisha yenu!
Hata ninyi wajeshi mnasubiri masihi aje kuwakomboa kama sisi huku mtaani???

jamani ni kweli hatujapata na si kawaida pengine pesa zimeenda kuzika zanzibar,kazi ya ccm ni misiba tu na ndo maana jk kila ikizama meli lazima akauze sura na hatuoni awajibikaji,i hate jk,i hate ccm and i hate any one with afiliation with ccm
 
Ukiona hivyo jua hali ni mbaya si rahisi kwa secta nyeti kama hiyo kucheleweshewa mshiko wao. Hatuna muda mrefu tutaungana nao kuidai nchi yetu na bora hali ikiendelea kwani uchumi wetu unapaa mifukoni mwa wachache huku viongozi wakidanganya wananchi kuwa ni uchumi wa nchi ndo unakua kwa asilimia sita hadi saba kila mwaka. Hali hii inaonesha jinsi gani serikali yetu isivyokuwa na uwajibikaji na haina kipaumbele cha taifa kwa manufaa ya umma bali kipaumbele chao ni pale wanaweza kupeleka pesa wanakoweza kuzichukua kupitia makampuni yao kwa bei wanayotaka
 
Mkuu katika watu wenye heshima zao ni JWTZ. Hawa jamaa hawahusiki kabisa na masuala ya rushwa. Mishahara kuchelewa nadhani ni sababu ya bajeti

Hivi Shimbo na mabilioni ya Afrika ya Kusini yaliyolengwa kuingizwa serikalini baada ya wajeshi wetu kukinusuru kisiwa cha Comoro toka kwa wababe wa kivita wa Commorro Mayotte yeye si JWTZ? Halafu hivi wale wa SUMA JKT nao si tawi la JWTZ? Haya mie ni mpita njia tu
 
Back
Top Bottom