Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
- Thread starter
-
- #41
Acheni kulalamika hapa kama madiaspora, nyie ndie mliichagua hii serikali na kutuambia Mkulu ni Tumaini jipya kwa Watanzania. Inabidi mkae miezi 6 ndio akili itakaa sawa
ikhwaan mpaka jana tunawasiliana wa ilala hakuna kitu same na temeke. je unakata kuniambia wamelipa kwa mafungu?!
mkuu wewe ndio unaleta porojo, mimi ndio nakwambia hakuna mshahara uliolipwa kwa manispaa 3 za hapa Dar.
umeshamaliza kuogesha vibibi vya kizungu?
Walimu mna umoja sana huku JF pelekeni malalamiko yenu Kwa Mwigulu
Ukiona hujalipwa ujue ni moja ya wale wenye vyeti bandia . Huku kwetu wala hawauliz mshahara wameshaa jijua na kusepa .
Katika hali isiyoeleweka mpaka sasa mishahara haijatoka. hususani kwa kada ya ualimu kwa manispaa zote tatu hapa Dar Es Salaam na kwa hili nadhani hata mikoani hali ni hii hii.
Hii serikali mbona haieleweki iweje mishahara isitoke na hakuna maelezo yoyote, wahusika wapo kimya.
Kwa jazba ulizonazo lazima utakuwa mla vumbi wewe. Pole.
Acheni kulalamika hapa kama madiaspora, nyie ndie mliichagua hii serikali na kutuambia Mkulu ni Tumaini jipya kwa Watanzania. Inabidi mkae miezi 6 ndio akili itakaa sawa
Ndo maana naufahamu uwezo wako kitaaluma.
Uwezo wangu kitaaluma umeufahamia wapi wewe?
nilikufundisha darasa la kwanza jinsi ya kuacha kutoa kamasi kwa kupiga nike shavuni.
Walimu mna umoja sana huku JF pelekeni malalamiko yenu Kwa Mwigulu
Well Said mkuu, mimi huwa tar 30 ikifika hakuna mshahara ulioingia bank siendi kazini najichanganya katika biashara zangu tu hadi atm itakapokua inasoma.