Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Wapo bize na bunge la poshoKatika hali isiyoeleweka mpaka sasa mishahara haijatoka. hususani kwa kada ya ualimu kwa manispaa zote tatu hapa Dar Es Salaam na kwa hili nadhani hata mikoani hali ni hii hii.
Hii serikali mbona haieleweki iweje mishahara isitoke na hakuna maelezo yoyote wahusika wapo kimya.
Kwani tarehe 40 imeshafika Mwalimu?
Hii nchi ya ajabu sana
Huku kwetu tumepata tangu tarehe 28, mwezi huu.....Ila kuna baadhi ya watumishi hawajapata kutokana na matatizo mbalimbali
Poleni sana.
Aulizwe Naibu waziri wa Hazina, Mwigulu Nchemba, kuwa pamoja na yeye kutahadharisha kuwa, kuendelea na bunge la katiba ni matumizi mabaya kabisa ya pesa za walipa kodi.kabisa kaka, sijawah kusikia wabunge wakilalamika kucheleweshewa malipo yao iweje sisi tu ndio wahanga wa hizh blah blah za serikali
Acheni porojo zenu,mishahara imeshalipwa zamani sana.
Acheni porojo zenu,mishahara imeshalipwa zamani sana.
Wala vumbi mnatia huruma!
we msengeNjajiAcheni porojo zenu,mishahara imeshalipwa zamani sana.