Mishahara mipya

myasis

Member
Apr 14, 2012
80
29
Habarini za asubh wandugu.. Mwenye information ya uhakika kuhusu nyongeza ya mishahara mipya hebu afunguke jamani! Mana nina hamu ya kufahamu ni kiasi gani kimeongezwa,.. Mm nipo ngaz ya TGS D. Asante
 
Mishahara mipya mwezi novemba are u siriaz bajeti ya wapi na lini ilipitisha nyongeza hy acha wenge asbh asbh nenda kazimue kwa mama mwenda alaa
 
Mishahara mipya mwezi novemba are u siriaz bajeti ya wapi na lini ilipitisha nyongeza hy acha wenge asbh asbh nenda kazimue kwa mama mwenda alaa

mkuu kwa jinsi nchi hii inavyokwenda kwa zimamoto au dharula inawezekana. kwani wabunge wao hawategemei budget
 
Back
Top Bottom