M myasis Member Apr 14, 2012 80 29 Nov 22, 2012 #1 Habarini za asubh wandugu.. Mwenye information ya uhakika kuhusu nyongeza ya mishahara mipya hebu afunguke jamani! Mana nina hamu ya kufahamu ni kiasi gani kimeongezwa,.. Mm nipo ngaz ya TGS D. Asante
Habarini za asubh wandugu.. Mwenye information ya uhakika kuhusu nyongeza ya mishahara mipya hebu afunguke jamani! Mana nina hamu ya kufahamu ni kiasi gani kimeongezwa,.. Mm nipo ngaz ya TGS D. Asante
mopaozi JF-Expert Member Nov 17, 2010 3,301 520 Nov 22, 2012 #2 Mishahara mipya mwezi novemba are u siriaz bajeti ya wapi na lini ilipitisha nyongeza hy acha wenge asbh asbh nenda kazimue kwa mama mwenda alaa
Mishahara mipya mwezi novemba are u siriaz bajeti ya wapi na lini ilipitisha nyongeza hy acha wenge asbh asbh nenda kazimue kwa mama mwenda alaa
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,837 69,026 Nov 22, 2012 #4 Hongera nasikia mmeongeza 1m safi sana!
M myasis Member Apr 14, 2012 80 29 Nov 22, 2012 Thread starter #5 King Kong III said: Hongera nasikia mmeongeza 1m safi sana! Click to expand... hiyo ni sawa na kumtekenya kinyago kisha unamsubiria aanze kucheza
King Kong III said: Hongera nasikia mmeongeza 1m safi sana! Click to expand... hiyo ni sawa na kumtekenya kinyago kisha unamsubiria aanze kucheza
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,837 69,026 Nov 22, 2012 #6 myasis said: hiyo ni sawa na kumtekenya kinyago kisha unamsubiria aanze kucheza Click to expand... Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
myasis said: hiyo ni sawa na kumtekenya kinyago kisha unamsubiria aanze kucheza Click to expand... Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
ligendayika JF-Expert Member Aug 31, 2012 1,183 198 Nov 22, 2012 #7 nimekoma said: Mishahara mipya mwezi novemba are u siriaz bajeti ya wapi na lini ilipitisha nyongeza hy acha wenge asbh asbh nenda kazimue kwa mama mwenda alaa Click to expand... mkuu kwa jinsi nchi hii inavyokwenda kwa zimamoto au dharula inawezekana. kwani wabunge wao hawategemei budget
nimekoma said: Mishahara mipya mwezi novemba are u siriaz bajeti ya wapi na lini ilipitisha nyongeza hy acha wenge asbh asbh nenda kazimue kwa mama mwenda alaa Click to expand... mkuu kwa jinsi nchi hii inavyokwenda kwa zimamoto au dharula inawezekana. kwani wabunge wao hawategemei budget