mkubwa income tax hukatwa kwa % hvyo lazma vwango vtofautiane grade had grade. na % income tax n moja kwa grade zote. but that the reality try to take reseach. we are learning!!
Mbona hapo sijaona PAYE?
Hapo alipoandika "income" ndo amemaanisha PAYE
Mkeo anaelim gan?? I mean ni wa diploma au dgree??
Wewe unadanganya! Haijapata kutokea na haitatokea asilimia ya makato ya mishahara kwa grade C1, D1, E1 pamoja F1 kufanana. % ya makato yatakayofanana hapa kwa grade zote ni tu kwa makato ya cwt ambayo ni % 02, Pensheni ambayo ni % 05, pamoja na hiyo unayoita ni Insurance ambayo ni % 03. Makato haya yatafanana kwa level zote yaani B hadi H. Lakini makato ya Income Tax ni lazima yatofautiane kipasenteji. Na unvyozidi kupotosha B1 cwt amekatwa zaidi ya % 02. Mkuu ungeacha kupotosha watu, nafikiri usingepungukiwa na chochote. Kikubwa unatafuta umaarufu tu.
mwalimu wa degree ana anza na daraja gani la mshahara?
mkubwa income tax hukatwa kwa % hvyo lazma vwango vtofautiane grade had grade. na % income tax n moja kwa grade zote. but that the reality try to take reseach. we are learning!!
Mkuu, scale ya mwalimu wa diploma ni ipi? Naomba kufahamishwa
Wewe unadanganya!
Haijapata kutokea na haitatokea asilimia ya makato ya mishahara kwa grade C1, D1, E1 pamoja F1 kufanana. % ya makato yatakayofanana hapa kwa grade zote ni tu kwa makato ya cwt ambayo ni % 02, Pensheni ambayo ni % 05, pamoja na hiyo unayoita ni Insurance ambayo ni % 03.
Makato haya yatafanana kwa level zote yaani B hadi H. Lakini makato ya Income Tax ni lazima yatofautiane kipasenteji. Na unvyozidi kupotosha B1 cwt amekatwa zaidi ya % 02.
Mkuu ungeacha kupotosha watu, nafikiri usingepungukiwa na chochote.
Anaanza na TGTS C1
Jamani mtusaidie namba zozote zinazo husika na hazina wizara ya fedha tuweze kuliza mishara mbona ss huku Buhigwe Kigoma hatujaingiziwa mishahara ajira mpya!
Mkurugezi wa wilaya hii anasema hana uwezo wa kutusaidia ss sijui twende kwa afisa elimu mkoa maana maisha yamezidi kuwa magumu!