Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Joined
Jul 12, 2014
Posts
61
Reaction score
17
B1=Basic 419000
Cwt=8390.Pension=20950.Income=46090.Insur 12570
Take home 331000

C1=530000
Cwt 10600.Pension 26500.Income 58300.Insurance 15900
Take home=418700

D1=716000
Cwt 14320.Pension 35800.Income 78760.Insurance 21400
Take home= 565640

E1=940000
Cwt 18800.Pension 47000.Income 103400.Insurance 28200
Take home 742600

F1=1235000
Cwt 24700.Pension 61750.Income 135850.Insurance 37050
Take home 975650

Approved
 
Wewe unadanganya!

Haijapata kutokea na haitatokea asilimia ya makato ya mishahara kwa grade C1, D1, E1 pamoja F1 kufanana. % ya makato yatakayofanana hapa kwa grade zote ni tu kwa makato ya cwt ambayo ni % 02, Pensheni ambayo ni % 05, pamoja na hiyo unayoita ni Insurance ambayo ni % 03.

Makato haya yatafanana kwa level zote yaani B hadi H. Lakini makato ya Income Tax ni lazima yatofautiane kipasenteji. Na unvyozidi kupotosha B1 cwt amekatwa zaidi ya % 02.

Mkuu ungeacha kupotosha watu, nafikiri usingepungukiwa na chochote.
 
Wewe unadanganya! Haijapata kutokea na haitatokea asilimia ya makato ya mishahara kwa grade C1, D1, E1 pamoja F1 kufanana. % ya makato yatakayofanana hapa kwa grade zote ni tu kwa makato ya cwt ambayo ni % 02, Pensheni ambayo ni % 05, pamoja na hiyo unayoita ni Insurance ambayo ni % 03. Makato haya yatafanana kwa level zote yaani B hadi H. Lakini makato ya Income Tax ni lazima yatofautiane kipasenteji. Na unvyozidi kupotosha B1 cwt amekatwa zaidi ya % 02. Mkuu ungeacha kupotosha watu, nafikiri usingepungukiwa na chochote. Kikubwa unatafuta umaarufu tu.
mkuu uko sahh
 
Subiri utakachokikuta kwenye akaunti yako tar 27 ndo ujue kumbe ndo hongezeko la shemeji alilosema atatuacha pazuri.
Lakini vinginevyo ni kujiongezea presha bure.
 
Mishahara mipya ya walimu 2015/16 wapi???
Tanzania, drc, rwanda, kenya, ug? Mtoa mada hajatuweka wazi huenda tukajadili kumbe nchi nyingine
 
Cheki hii
 

Attachments

  • 1437108517366.jpg
    1437108517366.jpg
    109.1 KB · Views: 4,142

Similar Discussions

Back
Top Bottom