Mishahara mipya serikalini 2013

Mishahara mipya serikalini 2013

Tuchukue kwenye group ya TGS kwenye wizara,kiongozi mkuu ni Katibu mkuu,hivyo ukiona maximum salary jua ni mshahara wa katibu mkuu.

kwa hiyo iko hivi.Kuanzia juu kabisa.

TGHS L
TGHS L (Sh 3,400,000) - Katibu Mkuu wa Wizara

TGHS K
TGHS K (Sh 3,100,000) - Mkurugenzi/Kamishna/Mkuu wa idara flani hapo wizarani

TGHS J
TGHS J (Sh 2,900,000)- Mkurugenzi Msaidizi/Kamishna Msaidizi/Mkuu wa kitengo flani ndani ya Idara

Endelea kushuka chini kwa kuangalia Hierarchy ya ukubwa hapo wizarani kwenu.

sasa kwa hawa mabwana hii mishahara ni 20-30% ya mapato yao ya mwezi,kwani wana vikao lukuki wanavyolipwa,wana stahili za kila mwezi,wana allowance zisizoisha,hivyo usishangae Mkurugenzi kuwa na total income ya 8-10M kwa mwezi.na vyote hivi ni haki zao za msingo,kabla ya kuanza kufisadi sasa.kwa wale mafishadi hiyo 10M ni weekly change.kwa mafisadi papa hata mshahara huwa hawachungulii!

Mkuu nimekupata..Ngoja nipumzike naona chozi liko njiani kunidondoka.. 🙁
 
TGS E inanipa utata mbona watu waliopandishwa madaraja mwaka huu kutoka D kwenda E basic inasoma 767000
 
Mkuu tunaomba kujua scale za PUTS na PHTS kwenye vyuo vya Serikali.
 
Back
Top Bottom