Tukiangalia uhalisia wa Mapato mamatumizi ya mtumishi anaeishi na kufanyakazi Dar es Salaam:-
1. Mshahara ................................................................................... 240,000.00
2. Usafiri i.e to and from per month (20)days...........................................(40,000)
3. B/fast na lunch meals per month (20days)...........................................(80,000)
4. simu..............................................................................................(10,000)
5. Pango la nyumba kwa mwezi.............................................................(120,000)
6. Gesi...............................................................................................(54,000)
7. Umeme...........................................................................................(70,000)
8. TV..................................................................................................(9000)
9. usafiri wa watoto 4 kwenda shule kwa mwezi .......................................(30,000)
10. Chakula cha Familia kwa mwezi.........................................................(300,000)
11. Matibabu na mambo ya kijamii kwa mwezi ...........................................(50,000)
12. Others..........................................................................................(100,000)
13. Akiba............................................................................................(CCM 2015)
14. JUMLA...........................................................................................(623,000)
Bila ya kuweka akiba, mfanyakazi wa kima cha chini atakuwa anadaiwa laki sita plus kila mwisho wa mwezi!!! no wounder wanapretend kufanyakazi kwakuwa wanapretend kuwalipa! watoto wetu nao wanafundishwa kupretend kusoma na kuandika mwisho wa siku tunavunja record ya dunia kuwa kuwa na wafauli 5000 wasiojua kusoma wala kuandika...
Mishahara lazima iangalie gharama za maisha la eneo husika mbali ya soko la ajira lililoko, nchi hii inawataalamu kwenye eneo hili kweli au kila kitu ni siasa kwa kwenda mbele?...