Naomba utuwekee na wale wanaotumia scale za PUTs na PHTs.
Asante
mzee wa crazy safari, salamaaaaaPanga vizuri hiyo document tuanze kuivua nguo!!!!!!!! Au mwambie mode akupangie.
Yapo mambo mengi yanayochangia kujenga madaraja ya wenyenacho na wasionacho katika jamii. Miongoni mwa mambo hayo ni mishahara.
Tuitake serikali itoe maelezo kwanini imependelea wanasheria?
Hivi kima cha chini cha Tsh 240,000/= kinatosha kugharamia chakula,chumba,maji,umeme,matibabu,simu na mavazi kwa mwezi?
Mbona TGTS ambayo ni scale ya walimu cjaiona?
TGS ndio walipo.
Kwani wewe ni polisi?Aliyeweka hadharan waraka wa siri wa serikali anatakiwa akamatwe mara moja
Mtu anayeishi maisha ya kima cha chini inamtosha ila akitaka kuishi kama Wema Sepetu haitoshi...
Mkuu kama wewe umebahatika kuwa na kipato kikubwa, acha kabisa kutukana watu wakipato cha chini.Haya uliyosema ni matusi. Na kama uko kwenye ngazi ya uongozi basi hii ni hatari mkubwa.
Exactly ukiishi maisha ya kawaida utaweza kujimudu kimaisha