Mishahara mipya 2017: Ni nani 'tumchune ngozi'?

Kwani mwaka wa fedha 2017/2018 umeshaisha??

Mhe rais aliahidi kwamba kutakuwa na annual increment mwaka huu wa fedha, hakusema kuwa ni mwezi July .

Kwa hiyo tusubiri uhakiki uishe atafanya tu hiyo increment.
by

Kwani increment huongezwa baada ya mwaka wa fedha kuisha?si alisema katika bajeti yake hii Mpya kutakuwa na hayo aliyoyaahidi,uhakiki usiumize Haki za msingi za wengine wasio na hatia,kwanza uhakiki gani usiokwisha, huenda serikali haina fedha ndio maana kila siku wanakuja na visingizio vya uhakiki
 
Mtumishi ukipata kitu cha kuiba usiogope iba na ukiona hakuna kitu iba muda hakuna maisha mengine zaidi ya haya tunayoishi ukijifanya mzalendo lazima ulalamike hata bei petrol ikipanda kwa Tshs 50 na itakua ndoto mwanao kusoma zaidi utampeleka kwenye majengo ya serikali wanaita shule ila akue na akutane na watoto wa wajinga kama yeye.
 
Mwaka huu wanafunzi watafeli sana, waalimu wamekata tamaa increment hakuna wala madaraja hakuna wanapeleka hasira kwa wanafunzi wao, ama kweli kufanya kazi serikalini yataka moyo.

Watu wanalialia tu...wanalilia mishahara; wanamlilia nani? Eti...ni nani tumchune ngozi??

Vyama vya wafanyakazi sio vya serikali....havikuanzishwa na serikali. Vimeanzishwa kwa sheria zake vyenyewe...vikasajiliwa. Legal framework ya Trade unions Tz haiilazmishi serikali kujadiliana navyo wala haiwajibiki kujib hoja yyote inayolalamikiwa.

Geresha za meimosi ndo zinawaumiza vichwa? Mwafa!! Hamna pa kwenda...mwajiri keshalipa...ambae hajaridhika aende Mahakamani.

Weekend leo wap wakuu??
 
kunasiku unaenda hospitali arafu unapigwa sindano mpaka inagonga mfupa,ndio mtajua nini maana yakuwaongezea mshahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mwaka wa fedha 2017/2018 umeshaisha??

Mhe rais aliahidi kwamba kutakuwa na annual increment mwaka huu wa fedha, hakusema kuwa ni mwezi July .

Kwa hiyo tusubiri uhakiki uishe atafanya tu hiyo increment.

there is no future within the past!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wa kumchuna ngozi ni huyo huyo anayestahili kuchunwa ngozi.

Watu wanalialia tu...wanalilia mishahara; wanamlilia nani? Eti...ni nani tumchune ngozi??

Vyama vya wafanyakazi sio vya serikali....havikuanzishwa na serikali. Vimeanzishwa kwa sheria zake vyenyewe...vikasajiliwa. Legal framework ya Trade unions Tz haiilazmishi serikali kujadiliana navyo wala haiwajibiki kujib hoja yyote inayolalamikiwa.

Geresha za meimosi ndo zinawaumiza vichwa? Mwafa!! Hamna pa kwenda...mwajiri keshalipa...ambae hajaridhika aende Mahakamani.

Weekend leo wap wakuu??
 
Hili la mishahara li dhahiri LIMESHAMSHINDA MTU

May Allah bless Me and You
 
by

Kwani increment huongezwa baada ya mwaka wa fedha kuisha?si alisema katika bajeti yake hii Mpya kutakuwa na hayo aliyoyaahidi,uhakiki usiumize Haki za msingi za wengine wasio na hatia,kwanza uhakiki gani usiokwisha, huenda serikali haina fedha ndio maana kila siku wanakuja na visingizio vya uhakiki
Mishahara imeshamshinda.Let us believe HAKUNA PESA.
Sarakas zimekuwa nyingi sana,na hakuma taarifa za kukosekana kwa annual inkriment

May Allah bless Me and You
 
Jiongeze kwa kujiajili acha kutegemea mshahara
 
Mtumishi ukipata kitu cha kuiba usiogope iba na ukiona hakuna kitu iba muda hakuna maisha mengine zaidi ya haya tunayoishi ukijifanya mzalendo lazima ulalamike hata bei petrol ikipanda kwa Tshs 50 na itakua ndoto mwanao kusoma zaidi utampeleka kwenye majengo ya serikali wanaita shule ila akue na akutane na watoto wa wajinga kama yeye.
IMG_-bwj5su.jpg
IMG_20170405_221443.jpg

Upo sahihi kabisa.
Best way kuiba muda,huwa hakuna mtumish aloshtakiwa kwa UBADHILIFU au Matumizi mabaya ya MUDA KAZINI (UZOEFU UNAONESHA HIVYO)

May Allah bless Me and You
 
Si kama kilio cha watumishi waliositishiwa mishahara yao ya July kwa kigezo cha darasa LA saba walioajiriwa kuanzia 2004 hadi kuminasaba.wakati mwenyewe alisema wale mliopo kazini wa darasa LA saba sitawagusa Leo Hii imekua sivyo.Yani we acha tu Mungu anaona lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom