Mishahara mipya 2017: Ni nani 'tumchune ngozi'?

Mishahara mipya 2017: Ni nani 'tumchune ngozi'?

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,207
Reaction score
7,364
Watu wanalialia tu...wanalilia mishahara; wanamlilia nani? Eti...ni nani tumchune ngozi??

Vyama vya wafanyakazi sio vya serikali....havikuanzishwa na serikali. Vimeanzishwa kwa sheria zake vyenyewe...vikasajiliwa. Legal framework ya Trade unions Tz haiilazmishi serikali kujadiliana navyo wala haiwajibiki kujib hoja yyote inayolalamikiwa.

Geresha za meimosi ndo zinawaumiza vichwa? Mwafa!! Hamna pa kwenda...mwajiri keshalipa...ambae hajaridhika aende Mahakamani.

Weekend leo wap wakuu??
 
Duuuuuui

kumbe kuna watu waliamini sound za sizonje

Mwafaaaa

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app

Mkuu hata Mimi nilimuamini pia, hasa aliposema kuwa hakutakuwa na nyongeza ya mshahara isipokuwa atatoa increments za kisheria pamoja na promotion kwa watakaostahili, sasa nashangaa hakuna cha promotion wala nini,sasa hapa ukimwita huyu kiongozi kuwa ni mwongo utakuwa unaleta uchochezi kweli?, halafu Eric anataka tumwombee, kwa lipi huku mateso yakitamalaki kila siku,watendaji unakandamiza Haki zao halafu unataka wachape kazi, hii si sawa kabisa, haikubaliki kabisa
 
*Kwa Mara ya kwanza serikali imelipa mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa wakati mmoja Leo kupitia Mfumo wa GSPP Ni vema kila mtumishi aangalie salio la mshahara. Ukiona hujapata mshahara ujue sababu zifuatazo zinaweza changia; Akaunti ya benki Ina shida, majina hayafanani na akaunti, majina matatu kufanana na mtumishi mwingine wa umma au Vyeti Feki.*

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Mcheki salio zenu
 
Mkuu hata Mimi nilimuamini pia, hasa aliposema kuwa hakutakuwa na nyongeza ya mshahara isipokuwa atatoa increments za kisheria pamoja na promotion kwa watakaostahili, sasa nashangaa hakuna cha promotion wala nini,sasa hapa ukimwita huyu kiongozi kuwa ni mwongo utakuwa unaleta uchochezi kweli?, halafu Eric anataka tumwombee, kwa lipi huku mateso yakitamalaki kila siku,watendaji unakandamiza Haki zao halafu unataka wachape kazi, hii si sawa kabisa, haikubaliki kabisa
Kwani mwaka wa fedha 2017/2018 umeshaisha??

Mhe rais aliahidi kwamba kutakuwa na annual increment mwaka huu wa fedha, hakusema kuwa ni mwezi July .

Kwa hiyo tusubiri uhakiki uishe atafanya tu hiyo increment.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hukumbuki kuwa alisema hao wanaodao mishahara yao wanastahili kuchapwa viboko?

Kama ndio unafurahia watu kutopewa stahiki zao basi wewe ni Bashite
Sijafurahia mkuu. Nimeleta kama changamoto na kwamba sasa ni wakat muafaka tureview legal framework ya uwepo (na utendaji kazi) wa vyama vyetu vya wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom