Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Ongera zenu wenye mshahara
Japo simpendi magu ila nakupinga kipindi cha jk kulikua na miyeyusho nilikua naona wife mara kibao analalamika muamala haujasoma tarehe husika. Na kipindi cha jiwe sikusikia hali hiyo japo sometime inaweza ikawa system tu imezingua.Wewe ni muongo.
Nani alipata mshahara tarehe tano kipindi cha JK?
Awamu ya mshamba kutoka Chato haisafishiki.
Au watoe riba zetu tuWatumishi wanararuana wenyewe kwa wenyewe. Nyie endeleeni na zogo mkimaliza mje mtulipe madeni yetu huku mtaani.