Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 38,032
- 88,079
September 1:Kwa nini kila kitu kinaangukia September mosi?
Maandamano ya UKUTA nchi nzima.
September 1:
Siku ambayo jeshi la wananchi Tanzania litafanya usafi huko Arusha.
September 1:
Imetajwa kua siku ya kuongezwa mishahara kwa wafanyakazi wa uma, ikiwemo kupandishwa vyeo kwa wanao stahili.
September 1:
Dr Slaa ana timiza mwaka mmoja kuanzia pale 1 September 2015, alipo tangaza rasmi kujingatua Chadema na kujiondoa kwenye siasa.