ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,605
Haijaelezwa sababu au vigezo vilivyotumika ila inajulikana kwamba zaidi ya 75% ya Watumishi wa Serikali wanapokea Mishahara chini ya Laki 5.Sekta binafsi Hali ni mbaya zaidi.
Kwa mazingira haya wataachwa kuwa na Stress kweli? Ni wazi Stress zinasababishwa na Hali ngumu ya kimaisha hivyo wengi wao kuwa na Magonjwa ya akili na kupelekea kufanya maamuzi mabaya ikiwemo kujinyonga.
Ushauri:
Serikali Ongezeni Mishahara Kwa Watumishi wenu walau wawe na unafuu wa Maisha.