DOKEZO Unyanyasaji na uvunjifu wa haki za Watumishi wa Umma ofisi za Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora inaombwa kuchunguza na kuchukua hatua ya uvunjifu wa haki za watumishi wa umma katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi unaofanywa na uongozi wa ofisi hiyo iliyopo Dodoma.

Watumishi wanapitia mazingira magumu yanayopelekea hofu kubwa ya kusitishiwa mishahara yao kwa kukosa kazi za kutekeleza kulingana na mfumo wa sasa wa PEPMIS na kutozingatiwa kwa miungozo na kanuni za utumishi wa umma.

Mamlaka zinazohusika zichukue hatua ili kunusuru ajira za watumishi wa ofisi hiyo.
 
Back
Top Bottom