Nyaganyi2014
Senior Member
- Dec 20, 2014
- 107
- 32
Idara ya mishahara ndo wase-ngerema! Hazina inashughulikia mbishe mapema wao wanaatamia payroll
Duuuh!! Dogo ni mtata sana ww, mara unajisema kuwa ww ni daktari, mara ww ni mwalim!! Au tapeli?
yahaya uyo
Labda wamekuwekea wewe,mm bado.vp madeni yamelipwa?
Tujuzane hapa wakuu, pamoja na mambo ya kampeni mishahara ni sensitive matter
Nchi hii ni ya kisenge sana......mwigulu ansema hivi.....kikwete anasema vile....mshahara mpaka Leo....manina zao.....kura nampa ....lowasa
Waalimu wa tz baadhi hawajielew ndyo maana wanapewa posho na serikali yao na bado wanashabikia wale watawala wanao waambia mwenye anaona mshahara hautoshi aache kazi.hivi wew mwalimu na kaelimu kako kakizushi unamsaada gan kama unazidiwa na boda boda darasa la saba ila anajielewa?serikali endeleen kuwapa posho hawa vilaza.
Vimishahara vidogo na Dharau za ccm kwa walimu na maaskari,
sina hamu na hao watu wanaoipa kura ccm