Wana jf, kama tulivyozoeshwa na serikali kila tarehe 25 kupewa tulichofanyia kazi, jana tulijazana kwenye mabenki tukaambulia zero, wenye maduka wameanza kutumia mesaji za kukumbusha madeni, vikundi ndo wameanza kuandika barua za adhabu. Ccm tunajua umebakiza siku 29 kukata kauli, tupe chetu usubiri kichinjio.