Amna vya Cv wala nini ata kesho ukienda ukifika unavalishwa gwanda na buti direct kwenda kulinda mshahara laki amsini ukiwa na tatizo ujaenda kazini bila kuwapa taarifa wanakata elfu kumi unaweza kaa ata miezi mitatu bila mshahara ika awadhurumu mtu pesa utapewa
Kma una cheti cha kidato 4, Cheti cha kuzaliwa na Wadhamini wa maana katafute kazi kampuni zinazoeleweka.Shukran Mkuu..
Ila kwny tqngazo nmeona wanataka attachment letter pia CV..
Kampany inaitwa Saramu Security. Unaweza kunipa A B C khs hili kampany..
Kma una cheti cha kidato 4, Cheti cha kuzaliwa na Wadhamini wa maana katafute kazi kampuni zinazoeleweka.
Kwanza uko wapi ?
Mhh hapana aisee utaishia kuliwa tunda kimasihara tuWanawake wanaruhusiwa kulinda hata kama hujapitia jkt na mgambo?
Na mpaka Sasa hujatoka tuMishahara ya kampuni za Ulinzi ni Tsh 100,000-Tsh 250,000+ Inategemeana na kampuni.
Kazi za Madereva huwa zinapatikana, ila ukiwemo kwenye makampuni kama Guard inakuwa rahisi kupata ingawa hata nje huwa wanachukua.
Kuhusu Elimu na JKT wala hata usivitegemee saaana, vitakupoteza.
Wala Usiitegemee Serikali au Magufuli. Kwanza Ndio Magufuli Anafurahia Kuwalipa SUMA JKT Tsh 170,000 Kwamba ni Cheap Security Guards na Hivyo Anabana Matumizi.
Umeingia Mtaani, Usiangalie Chaka, Usiangalie Mtu. Anza Upya.
You Need To Start To Be Great.
Mimi Nimeingia Huku Tangu 2017 Mwezi Wa 10.
Anzia G4S.Nko daresalam Mkuu..
Ninavyeti vyote..
Cha form 4
Ordinary Diploma
Advance Diploma
Birth certificate
National ID
Referees
Etc..
Kama unaweza kesho kabla ya saa mbili uje garda...ipo mikocheni ukiwa unaenda kawe kuna kituo kinaitwa kwa mwinyi...shuka hapo ulizi ofisi za garda zilipo lakini hakikisha wewe ni mrefu na una vyeti halali...pamoja na wadhamini halali ambao watakuwa teyari kuja kukudhamini phisicalyPoapoa Mkuu..
Kamanda.kama unaweza kesho kabla ya saa mbili uje garda...ipo mikocheni ukiwa unaenda kawe kuna kituo kinaitwa kwa mwinyi...shuka hapo ulizi ofisi za garda zilipo lakini hakikisha wewe ni mrefu na una vyeti halali...pamoja na wadhamini halali ambao watakuwa teyari kuja kukudhamini phisicaly
Upo kamandakamanda
tupo tunaganga.Upo kamanda
Ngoja namimi nikajaribu bahati yangu huko huenda mambo yakawa mazuri.kama unaweza kesho kabla ya saa mbili uje garda...ipo mikocheni ukiwa unaenda kawe kuna kituo kinaitwa kwa mwinyi...shuka hapo ulizi ofisi za garda zilipo lakini hakikisha wewe ni mrefu na una vyeti halali...pamoja na wadhamini halali ambao watakuwa teyari kuja kukudhamini phisicaly