Kama ingekuwa wanatumia ustaharabu hao sio watu wengi kabisa, mnajipanga mstari au mistari nina uhakika baada ya daladala mbili kituo cheupe na hakuna aliyetoka jasho wala kutumia miguvu kuingia kwenye daladala
Hii kali
Kweli ....
Hii nayo kali
Kiongozi wewe mkali sana
Mganga yeye kuku, mbuzi kwa kwenda mbele, haina samaki hiyo, aisee
Nimekubali kweli HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA SUPU