Waswahili banaKuna misemo mbali mbali ya watu wa maisha ya chini tukumbushane naanza 1.Bosi hanuniwi. 2.Kuvaa dela sio Kazi Kazi kulishikilia unapotembea. 3.Tofauti ya funguo ulizoshika Na nilizoshika Mimi ni kuwa za kwangu zina ufunguo wa bodaboda wakati zako hazina. 4.Utakataaje Kula ugali Na matembele wakati hela ya nyama huna.
Hahaha nimecheka hiyo mungu amenibariki watoto sitaMungu anasaidia,... kila mtoto huja na ridhiki yake,... Aliye juu mngoje chini, ... Mungu amenibariki watoto sita.... Na kadharika.
hujaweka na vile vidole vya kusutana.1. NILIKOTOKA NIMEAGA
2. UTAUZA HADI NGUO ZA NDANI MSIMU HUU
3. MSHENZI MALAYA WA BEI CHEE WEWE
4. UTAMALIZA VISIGINO KWA SAFARI YA UMBEA
5. SILI WALA SILALI MAPUANI KWAKO
Wadada bwana!!