Misemo ya watu watu wa maisha ya chini

Mungu atatenda
Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Bwana ni ngome yangu
Kumekucha tena inshallah
Mungu hamtupi mja wake
Mwisho wa yote ni kaburini
Pilsner ina ladha nzuri kuliko castle lager
 
"Duwa la mwewe halimpati kuku"
"Kuku kuku tuu jogoo jina"
Eti ugali una panda kwa mboga za kipumbavu mala pale dagaa Michele wa kukaanga nyanya chungu na pilipili mbuzi enzi hizo ugali una pikwa kwenye mfuko wa rambo
 
1. NILIKOTOKA NIMEAGA
2. UTAUZA HADI NGUO ZA NDANI MSIMU HUU
3. MSHENZI MALAYA WA BEI CHEE WEWE
4. UTAMALIZA VISIGINO KWA SAFARI YA UMBEA
5. SILI WALA SILALI MAPUANI KWAKO

Wadada bwana!!
Usiulize kuhusu maisha yangu subiri nife historia yangu yote itasomwa
 
Back
Top Bottom