Habari za leo mchana wana Jf,
Hebu tupeane misemo mbali mbali ya mitaani;
1. Miluzi mingi humpoteza mbwa
2. Mbona upo juu juu kama nyama dukani
3. Ukubwa wa kitambi hauvunji miguu
4. Unauliza makalio ya mbwa na mkia kanyanyua juu?
5. Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha...
Haya ongezen za kwenu hapo...